Wednesday, August 7, 2013

unamjua DEDDY wewe ?

kama ulikuwa hujui huyu ni mkali mwingine ambae anakuja kwa kasi ya ajabu katika kuibadilisha na kufungua milango katika modern dancehall ya hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla kama ulikuwa hujawahi kumsikiliza huyu man fanha kama unazipitia nyimbo hizi kadhaa ambazo amefanya humo utaweza kugundua ukali na utundu wake jama ni anatisha mbaya kibongo bongo jakunaga , huyo ndio Deddy ambae anapatikana pale B'hitz record kwa mkali Pancho na Hermy B



No comments: