Wednesday, August 7, 2013

Iam in luv with Church girl ya Ja Rule yaja stay tune!!

Rapa mkali kutoka kule pande za marekani Ja Rule alikuwa kimya sana kwa kuwepo kwake gerezani akitumikia adhabu ya miaka miwili kwa makosa ya kukutwa na silaha kinyume na sheri pamoja na kukwepa kulipa kodi kwa serikali ya marekani 

Mkali huyo aliyewahi wa kutamba na kundi lake la Murder INC amekuwa huru kwa sasa na ameweza kufunga na kusema maisha yake ya jela yalikuwa kama vile yuko High School kwa kile alichotanabaisha kuwa alikuwa anapangiwa kazi kwa Warden/mkuu wa jela kazi za kufagia kudeki na kumwagilia maji  bostani ya mau hakuna kitu kingine cha zaid alichokuwa akikifanya zaidi kusoma vitabu na kubadilishana mawazo na washkaji kadhaa alikutana ao humo

Aidha Ja Rule amedokeza kuwa mnamo october ya mwaka huu 2013 tutarajie kazi yake kali itakayokwenda kwa jina la "Iam in luv with Church Girl" je hii itakuwa second chance yake ama atakuwa tayari keshapotezwa na wakali wa sasa kama kina Kendric lamar na kina Two chain , subiria ujio wake huo mpya kwa hamu


No comments: