Wednesday, August 7, 2013

Master P adondosha "FAMOUS AGAIN" mixtape download na usikilize hapo kati

Mkali kutoka mamtoni Master P anaemiliki studio kubwa sana pande hizo ya NO LIMIT SOLDIER amekuja na ujio mwingine kwa kudondosha bonge la mixtape kali sana la kufungia mwaka linalo kwenda kwa jina la 
"FAMOUS AGAIN" lililosheheni nyimbo kazaa kali na za kuburudisha sana
humo ndani kuna nyimbo 20 kali sana 




No comments: