Wednesday, August 7, 2013

Beef la Meek Mill na Cyssero lafikia huku

Hebu sikiliza hii mistari ya Cyssero akimporomoshea maneno makali best wake wa zamani Rapa 
Meek Mill ambae kwa sasa yuko na MayBach Record under mkali Bigg Boss ..Rick Rosaaaaaaaay
sikiliza humo stay tune nitakuletea utamu zaidi kuhusiana na chanzo cha Beef la washkaji hao kutokea huko kwa Obama


Meek Mill


Cyssero



No comments: