Wednesday, August 7, 2013

Tripple 2 na ujio wa kushangaza kwenye African HIP HO

Ni Peter na Paul mapacha wengine wakali kutokea west africa pande za Ghana , wakali hawa wanapiga hiP HOP za kufa mtu na wameweza kuiweka Accra katika ramani ya HIP HOP kimataifa pale walipokamilisha na kuingiza sokoni album yao " STRAIGHT  UP" mwaka 2012, 

Kwa sasa mapacha hawa wanafanyia kazi zao huko pande za finland ambapo waishi na kuendeleza tasnia yao ya muziki wa HIP HOP ,


Bofya hapo chini ujionee video yao ya FUNKY FLAME 



No comments: