Sunday, August 11, 2013

KIPANDE NA WANA ya MAGENGE

Wakali wa HIP HOP bongo kutokea pande za mwenge Dar es salaam MAGENGE hivi karibuni wamedhirishia uma kuwa hawa jamaa bado wakali sana na wamepania kufanya harakati za kimapinduzi zaidi
hapa tena mara nyingine wanakuja katika  bonge la colabo na JCB ,G nako na MO Plus 

Bofya hapo chini uweze kusikiliza yaliyomo humo ndani

No comments: