Tuesday, August 6, 2013

MI NAJUA ya BOU NAKO na FidoVATOLOCO

Majembe ya kaskazini yameibuka tena na kazi tamu sana za kukata na shoka tupia jicho lako hapo kati umsikilize mkali na mkongwe kitambo katika game BouNako akiwa na FIDO VATO katika ngoma kali ya kigumu kutoka pale kati kati A'Town kwa NoizeeMaker




Bofya hapo chini kuisikiliza pini hiyo kali

No comments: