Thursday, August 1, 2013

MasSicker alongside Teban CEE waja na kali ya mwaka

Wakali wa Dancehal kutoka pande za bondeni kwa zuma waja na goma kali la mwezi august 
GET UP and GO RIDDIM sfanya kama unapitia hapo kati kuwasikiliza kama kweli wewe ni mpenzi wa Dancehall

 Bofya hapo chini kusikiliza joint hiyo

No comments: