Wednesday, July 17, 2013

Shosteez waja na NIFIKIRIE

Kwa mara nyingine tena  Producer LAMAR awaleta tena wale wadada warembo wanaotikisa anga la muziki wa hapa Africa Mashariki SHOSTEEZ wenye makazi yao hapa Dar es salaam wamekudhirishia umma kuwa hawakuwa wakibahatisha kwa kuachia goma lingine kali ambalo limefanywa na mkali LAMAR kutoka FishCrab pale kati




Bofya hapo chini kuisikiliza ngoma hiyo



No comments: