Wednesday, July 17, 2013

LOVE ME ya IZZO BIZNES yafika CHANNEL O

Ngoma kali ya mkali wa HIP HOP kutoka kule jijini mbeya almaarufu kama IZZO BIZNESS ametanabaisha kuwa nyimbo hiyo imepata shavu kubwa la kuwa imechaguliwa kuwa miongoni mwa nyimbo zenye ubora ambao utapelekea kuweza kuchezwa katika kituo kikbwa cha television hapa barani Africa 

Shukrani kubwa sana zinapaswa kumfikia mwanadada Jokate mwegelo ambae kwa hivi sasa anafanya kazi kubwa sana huko Channel O na yeye anaonekana kama ni msaada mkubwa sana kwa kuweza kuwalink wasanii wa East Africa na kituo hicho chenye makazi yake huko nchini Africa ya kusini

 Bofya hapo chini kutazama hiyo video kali ya mwaka

No comments: