Wednesday, July 17, 2013

JIDE awaleta OGOPA VIDEO kwa YAHAYA!!

The One and Only supper woman, LADY  JAY  DEE almaarufu kama Anaconda amewaleta wakali wa kutengeneza Video kali sana hapa Afrika ya mashariki kutokea kule Jijini Nairobi, Kenya  kutayarisha video ya wimbo unaokimbiza hapa nchini kwa sasa katika kila kona ya mtaa wimbo wa "YAHAYA"

Aidha mama Somefood ameamua kumpa shavu muigizaji mkali hapa katika Tasnia ya filamu za kiswahili Kulwa Kikumba aka DUDE ambae alijizolea umaarufu mkubwa kati ya mika ya 2005 hadi 2011 alipokuwa akifanya tamthilia za BONGO DAR ES SALAAM...

Kwa maudhui ya wimbo huo wa "YAHAYA" Dude anafaa haswa kuigiza kama video man katika hiyo song haya natusubirie utamu utakapopakulizwa picha zikionesha baadhi ya vipande vilivyopigwa pale maeneo ya Nyumbani Loudge mgahawa unaomilikiwa na mwanamama  JIDE




Bofya hapo chini kuisikiliza YAHAYA

No comments: