Monday, July 22, 2013

2nd ANNUAL SWAHILI HIP-HOP EXHIBITION 2013



Haya haya wale wadau na wapenzi wa muziki wa Hip HOP na tamaduni hizi mnaalikwa kwa mara nyingine tena kwenye lile tamasha lenu kuubwa na pendwa hapa kuwahi kufanyika hapa nchini Tanzania tamasha ambalo hujumuisha wasanii mbali mbali kutoka nje na ndani ya nchi  lenye malengo ya kuwaleta vijana /wanamuziki wa HIP HOP pamoja kwenye kujadili na kupanga mustakabali wa kuendeleza fani hiyo 

Aidha yatakuwepo mafunzo kadhaa sambamba na maonesho ya kukata na shoka ya bidhaa kadhaa kutoka kwa wasanii mbali mbali wewe mpenzi na mdau ni wakati wako sasa kujumuika na kuweza kutoa support yako kwa wasanii uwapendao kwa kufika kununua bidha na kuweza kuhudhuria semina elimishi za kuhusiana na utamaduni wa HIP HOP 




No comments: