Tuesday, August 13, 2013

NISHAURI- Mabeste ft Peter Msechu

Mara nyingine tena mkali toka B'Hitz Mabeste Venance muda huu amefanya kazi kali sana na Maneck kutoka AM Record huyu jibaba amedondosha  kazi moja kali sana hebu fanya kama unamsikiliza huyu jamaa yetu ambae kwa sasa ni baba wa mtoto mzuriiiiiii 


No comments: