Monday, August 12, 2013

KUMBI TRONIXX inakuja kuwabamba sikiliza kazi zao hapo

Fadda stancial anakuja na KUMBITRONIX kuwashika wale wakali wa miondoko ya Dancehall na RaggaMuffin mkae mkao wa kula muda si mrefu atakuja kuwa dakisha beat kali za kijanja zenye mahadhi ya  carribean na africa ni wakati wa DanceHall  huu

No comments: