Tuesday, July 16, 2013

TANZANIA against AMERICA

Bondia mkali kutokea Tanzania Francis Cheka atapanda ulingoni august 30 , 2013 kupambana na mkali mwenzake kutoka huko kwa Obama/America Derrick Findley  pambano la WBF uzito wa
 Super Middleweight 
aidha mratibu wa pambano hilo alitanabaisha kuwa linatarajiwa kufanyika katika ukumbi maarufu hapa Dae es salaam Diamond Jubilee na litakuwa ni la takriban round 12,
 Cheka ambae ni bingwa IBF continental Africa Champion  anasifika kwa kuwa bondia ambae hajapigwa kwa muda mrefu kitu ambacho kinaweza kikawa ni mwiba kwa mmarekani huyo ambae atatua hapa Dar es salaam kupambana na Cheka

No comments: