Tuesday, August 20, 2013

TeBan Cee My Year(20 shellings)

Huyu hapa mara nyingine tena namleta kwenu wadau wa music ni kinda mwingine ambae anatikisa kwa kasi ya ajabu anga za  africa kwa ujumla kwenye miondoko ya Ragga Muffin na Dancehall hili hapa goma lake jipya kabisa sikiliza uwezo huu kisha sema unamuonaje na level zake je anakuja bongo kufanya macollabo kitanukaje na wana dancehall wa bongo


Bofya hapo chini kumsikiliza Teban Cee

No comments: