Monday, July 29, 2013

Jazzy Weezy awaleta Dorro Ft Nature kwenye DINA LA USIKU


Producer mkali kwa hivi sasa hapa bongo kutokea pale PRICELES MEDIA GROUP amewaleta tena Juma Nature na Dorro katika goma kali la DINA LA USIKU sikiliza hapa kazi tamu iliyopigika humo ndani

Bofya hapo chini kusikila uhondo huo

No comments: